Tuesday, October 30, 2012

KULA PUSHAPU KWANZA.......

ENZI HIZO - MAPEMA UNATAKIWA KUHESABU NAMBA, UKITOKA MCHAKAMCHAKA,UNAFAGIA UWANJA, UKIFIKA MSTALINI KWA AJILI YA UKAGUZI WA KUCHA NA MENO PIA WASIOOGA BAADA YA HAPO UNAPATA PUSHAP KUMI NDIPO UNAINGIA DARASANI AKILI INAKUWA SAWA.  DUUUUUUU SIKU HIZI SASA........

Post a Comment