Sunday, November 11, 2012

BREAKING NEWSS BARAKA CHAWE AFARIKI WAKAZI WENGI WA MBEYA WALIMWITA MC CHAWE AU CHAWE MASOFA

MAREHEMU BARAKA CHAWE
HAPA MC MWAKIPESILE AKITANIANA NA MC CHAWE KATIKA SHEREHE YA HARUSI ZA HAPA JIJINI MBEYA


KWA TAARIFA TUNAZOZIDI KUZIPATA NI KUWA SASA NDUGU NA JAMAA WA DSM WANASHUGHURIKIA KIBALI CHA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU BARAKA CHAWE KULETA MBEYA

MAREHEMU BARAKA CHAWE AMEFARIKI JANA JIONI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA TAARIFA TULIZOPATA KUWA ALITOKEA CHINA KATIKA BIASHARA ZAKE WALIPOKUWA NDANI YA NDEGE AKAZIDIWA NDIPO WALIPOINGIA DSM WAKAMPELEKA MOJAKWAMOJA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

 HABARI KAMILI TUTAZIDI KUWAJULISHA WADAU WETU

PICHA NA jem wa  mbeya yetu 


KINGO
0752881456
Post a Comment