Tuesday, November 6, 2012

BUSOKELO MAMBO INOGILE

HII NI OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA AWALI OFISI HII ILIKUWA NI OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA RUNGWE MASHARIKI PROF MACK MWANDOSYA

OFISI ZA HALMASHAURI YA BUSOKELO

MAFUNDI WAKIENDELEA NA UJENZI KATIKA OFISI MPYA YA BUSOKELO

NIMETOKEA SHAMBA NA NIMEFANIKIWA KUPITIA KATIKA OFISI MPYA YA BUSOKELO

Post a Comment