Saturday, November 10, 2012

KAZI NA RIKIZO

HAPA NDIPO ALIPOZALIWA MAMA YANGU

NILITEMBELEA SHAMBA

MZEE WANGU MCH, MWALWEGA AKIWA ANAFURAHIA JAMBO NA WADOGO ZANGUTUKIWA NYUMBANI KWA BABU KAPANGE TUNAFANYA UKARABATI WA NYUMA NA MAZINGIRA

NILIFANIKIWA KUTEMBELEA NDUGU NA JAMAA

KIJIJI CHETU HIKI CHA IKAMBAKU MANOW WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA KIONEKANAVYO UKIWA MLIMANI

KAZI NA DAWA HAPA SIO UZARAMONI HAPA NI UNYAKYUSANI

MAPUMZIKO YALIAMBATANA NA BURUDANI HAPA NILIJIONEA BURUDANI YA NGUMI AMBAZO HAZINA REFA WALA KUPIMA UZITO

HA HA HA HA  HADI BIASHARA YA WATU IKAHARIBIWA AAAAA MWENYE NGUVU MPISHE BWANA

RAFIKI YANGU GABRIEL MWASYEBULE AMENISAIDIA SANA KATIKA MIZUNGUKO YANGU

Post a Comment