Friday, July 11, 2014

MTUKUTU LUIS SUAREZ ATUA RASMI FC BARCELONA, `FIGISU FIGISU` ZOTE TUPA KULE!


article-2688777-1F9198B600000578-435_634x346 
Dole juu: Luis Suarez amekamilisha uhamisho wake na kujiunga na Barcelona akitokea Liverpool.
Rasmi, Luis Suarez ameondoka Liverpool na kujiunga na FC Barcelona kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 75.
Mazungumzo yalianza wiki iliyopita na yamefikia tamati baada ya Wakalunya kukubali kulipa dau linaloaminika kuwa paundi milioni 75 ili kuinasa saini ya mshambuliaji huyo wa Uruguay.
article-2687998-1F1AFA7B00000578-106_634x366Amefungiwa: Rufaa ya Luis Suarez aliyokata kupinga adhabu ya kufungiwa miezi minne baada ya kumng`ata beki wa Italia, Giorgio Chiellini imepigwa chini na FIFA
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
Post a Comment