Friday, October 31, 2014

MAMIA YA WAKAZI WA MBEYA WAMEJITOKEZA KUMZIKA ULIMBAKISYA GWASA ALIYEKUWA MTUMISHI WA JIJI LA MBEYA NA MPIGA PICHA MKONGWE JIJINI MBEYA

MWILI WA MAREHEMU ULIMBAKISYA GWASA UKITOKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA MBEYA HAPO MSAFARA UKIELEKEA NYUMBANI KWA MZEE GWASA MAENEO YA FORESTI TAYARI KWA IBADA YA MAZIKO

BAADHI YA WAPIGA PICHA NA MC MBEYA WAKISHIRIKI KUBEBA JENEZA LA MAREHEMU ULIMBAKISYA GWASA

MAREHEMU ULIMBAKISYA GWASA AKIWA NDANI YA JENEZA. MAREHEMU ALIPATWA NA UMAUTI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA BAADA YA KUPATA AJALI YA KUGONGWA NA GALI AKIWA ANAENDEHA PIKIPIKI YAKE AKITOKEA KAZINI NA KURUDI NYUMBANI KUPAKI PIKIPIKI.  ALITAKIWA KUELEKEA MJINI TUKUYU AMBAPO ALIKUWA AMEFIWA NA BABU YAKE AMBAKO ALIKUWA ANASUBILIWA KWA AJILI YA MAZIKO YA BABU YAKE

KULIA BABA MZAZI WA ULIMBAKISYA GWASA AKIWA NA WACHUNGAJI WAKATI WA IBADA YA MAZIKO

MKE WA MAREHEMU AKIWA NA WAOMBELEZAJI KATIKA IBADA YA MAZIKO

MC MWAKIPESILE AKIONGEA KWA NIABA WA WATOA HUDUMA ZA SHEREHE,MIKUTANO NA HAFRA NA SHUGHURI MBALIMBALI MKOA WA MBEYA AMEWASHUKURU WATU WOTE WALIOJITOLEA KUFANIKISHA MAZIKO YA ULIMBAKISYA GWASA AMBAPO PAMOJA NA MICHANGO YA HARI NA MALI KWA WAFIWA KITU KIKUBWA KILICHOGUSA MIOYO YA WAOMBOLEZAJI NI WATOTO WAWILI MAPACHA WA KWANZA WA MAREHEMU GWASA WAKO KIDATO CHA NNE NA WANATARAJIA KUANZA MITIHANI YAO YA KUHITIMU KIDATO CHA NNE JUMATATU HIVYO WATU MBALIMBALI WALIGUSWA KWANZA KWA KUFANYA MAOMBI MAALUM KWA WATOTO WA MAREHEMU ILI TUKIO LA KIFO CHA BABA YAO LISIJE LIKAWA NJIA YA KUTOFAURU MITIHANI YAO

WATOTO WA MAREHEMU WAKIAGA MWILI WA BABA YAO MPENDWA

JENEZA LA MAREHEMU LIKIINGIZWA KWENYE GALI TAYARI KUELEKEA MAKABURI YA  SABASABA MBEYA KWA MAZIKO

MSAFARA WA MAZISHI UKIELEKEA MAKABURI YA SABASABA  KWA MAZIKO

JENEZA LILILOBEBWA NA WATU MBALIMBALI LIKIFIKA KATIKA MAKABURI YA SABASABA TAYARI KWA MAZIKOMAREHEMU ULIMBAKISYA GWASA AMEACHA MKE MMOJA NA WATOTO WATATO NA WAWILI AMBAO NI WAVULANA MAPACHA WA KWANZA WANATARAJIA KUANZA MITIHANI YAO YA KUMALIZA KIDATO CHA NNEINAYOANZA HIVI KARIBUNI

Post a Comment