Sunday, December 14, 2014

ASANTE WA WATU WOTE MNAONITAKIA KHERI KATIKA SIKU YANGU HII YA KUZALIWA NA NI SIKU YANGU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE KINGO BABAYANGU ASANTEN NA MUNGU AWABARIKI SANA NDUGU ZANGU WOTE

ASANTE SANA NDUGU ZANGU WOTE KWA UPENDO WENU KWANGU

MWAKA HUU UMEKUWA NA MAPITO MENGI SANA NA MAZITO LAKINI KWA NEEMA YA MUNGU AMENIFANYA NIPONE

JANA NIMEPATA FULSA YA KUMCHAGUA KIONGOZI NINAYETAKA KUNIONGOZA MIAKA MITANO KATIKA KIJIJI CHANGU CHA BULYAGA TUKUYU MJINI WILAYANI RUNGWE

AFYA YANGU INAENDELEA VYEMA NA KAZI NIMEANZA KUFANYA VYEMA ASANTENI SANA
KINGOTANZANIA - 0752881456
Post a Comment