Tuesday, December 9, 2014

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA KIKWETE AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA UHURU MIAKA 53 UWANJA WA UHURU LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika  katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo leo. [Picha na Ikulu.] unnamed1 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika  katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo leo. [Picha na Ikulu.] unnamed2 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika  katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo leo. [Picha na Ikulu.] unnamed4 
Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikitoa salamu ya heshma wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo katika sherehe  za kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara, [Picha na Ikulu.] unnamed5 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Viongozi wa Kitaifa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, [Picha na Ikulu.] unnamed7 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika sherehe za kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, [Picha na Ikulu.] unnamed8 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika sherehe za kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, [Picha na Ikulu.] unnamed9 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamo wa Pili wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] unnamed10 
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mama Salma Kikwete akisalimiana na Makamo wa Pili wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, unnamed11 
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wananchi kutoka mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar es Salaam na Mikoa jirani wakiwa katika   Uwanja wa Uhuru  Jijini Dare Salaam katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara ambazo hufanyika kila mwaka,[Picha na Ikulu.] unnamed13 
Mabalozi  wa Nchi mbali mbali wanaoziwakilisha Nchi zao hapa nchini pamoja na Wananchi wakiwa katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru  ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, [Picha na Ikulu.] unnamed14 
Mabalozi  wa Nchi mbali mbali wanaoziwakilisha Nchi zao hapa nchini wakiwa katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, [Picha na Ikulu.]


Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo.

Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara CCM, Philip Mangula.(P.T)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, akisalimiana na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.

Baadhi ya viongozi wa nchi wakiwa jukwaa kuu.


Askari wa majeshi ya ulinzi na usalama wakitoa heshima kwa Rais Kikwete.

Haya ni maonyesho ya halaiki.

Baadhi ya wananchi waliofika kwenye sherehe hizo.
RAIS Kikwete leo ameongoza sherehe za kuadhimisha miaka 53 tangu Tanzania Bara ipate uhuru wake Desemba 9 1961. Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali nchini na wawakilishi wa nchi za nje walioshuhudia burudani ya kwaya, gwaride, halaiki, ngoma za asili, sarakasi na michezo mingineyo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.

No comments: