Thursday, March 19, 2015

RAIS KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. 2 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
3 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega katika ukumbi wa Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Baadhi ya wabunge wa EALA wakimsikiliza Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati alipokuwa akilihutubia bunge hilo mjini Bujumbura Burindi. 6 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi leo.
Post a Comment