Tuesday, April 21, 2015

ACT-Wazalendo Mnapata Wapi Pesa za Kuendesha Chama? Zitto Ashindwa Kujibu Je nani Atajibu


Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.
Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi? Katika Mkutanao wa Chama hicho Mwanza 

Zitto Alishindwa Kujibu Swali hilo na Badala yake alisema Kawaulize kina Mzee Mtei Chadema nao Wanapata Wapi Fedha za Kufadhili Mikutano yao...
Wadhamini wa chama ni akinanani.?
Kama mtanzania nahitaji majibu?
CHANZO:TANZANIA TODAY(V.S
Post a Comment