Tuesday, April 14, 2015

ACT; ZITTO KABWE MOROGORO

Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia katika mji wa Morogoro jana. to2 
Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Morogoro jana. to3 
Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro jana. to5 
Umati wa wananchi  to6 
 Kiongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo Zitto Kabwe, akishiriki kuzika miili ya watu walioungua kwa moto uliotokana na ajali jana.
Post a Comment