Tuesday, April 21, 2015

MSIBA; BABU JONAS MWAHENYA WA MANOW BUSOKELO RUNGWE AFARIKI NA KUZIKWA TAREHE 22.04.2015 KATIKA KANISA LA KKT USHARIKA WA MANOW.


BABU JONAS MWAHENYA ENZI ZA UHAI WAKE AKIMUAGA MKE WAKE BIBI NGUMBAZI WAKATI WA MAZIKO YALIYOFANYIKA USHARIKA WA MANOW

WAPILI KULIA NI MAREHEMU BABU JONAS MWAHENYA AKIWA NA WATOTO WAKE NA KUSHOTO MDOGO WAKE SIKU AMBAYO MKE WAKE BIBI NGUMBASI ALIPOFARIKI

MANOW

 MAREHEMU AMEFARIKI TAREHE 19.04.2015  KIMARA DSM NA  MAZIKO YANAFANYIKA TAREHE 22.04.2015 KATIKA KANISA LA KKT USHARIKA WA MANOW WILAYANI RUNGWE KATIKA HALMASHAURI YA BUSOKELO
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE. AMEN
Post a Comment