Sunday, April 26, 2015

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dr.Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa na Wazee wetu Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume mwaka 1964 kwa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar, Dr. Jakaya kikwete ameongoza maelefu ya watanzania kwenye uwanja wa Taifa katika sherehe za kuadhimisha muungano huo sherehe zilizohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, Vyama vya Siasa, viongozi wa dini na wananchi wageni waalikwa kwa ujumula.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA TAIFA-DAR ES SALAAM) 2 
Vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama vikiwa vimejipanga katika gwaride hilo. 6 
Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu kwa ajili ya kumpokea Rais Dr. Jakaya Kikwete. 8 
Kikosi Cha bendera kikitoa heshima zake Mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho hayo.  15 
Vikosi vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Mh Dr. Jakaya Kikwete. 16 
Kikosi cha Mizinga kikipita na kutoa heshima zake 17 
Kikosi cha wanamaji wanawake kikipita 18 
Kikosi maalum cha walinzi wa viongozi kikipita na kutoa heshima. 19 
Kikosi maalum cha mizinga ya kutungulia ndege kikitoa heshima zake 20 
Kikosi maalum cha Makomandoo kikitoa heshima zake 21 
Kikosi cha makomandoo wana maji kikipita na kutoa heshima. 22 
Kikosi cha FFU kikipita  23 
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo. 24 
Baadhi ya viongozi wakiwa katika sherehe hizo. 25 
Wananchi mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo.
Post a Comment