Tuesday, April 21, 2015

UBOVU WA BARABARA YA KATA YA BULYAGA TUKUYU WILAYANI RUNGWE KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU 2015

BARABARA YA TUKUYU MJINI KATA YA BULYAGA IKIWA IMEHARIBIKA KIASI KWAMBA KUPITIKA NI SHIDA SANA


MUONEKANO WA UBOVU WA  BARABARA YA KATA YA BULYAGA NA HUU MTAA UNAKALIWA NA WATU MAARUFU SANA MJINI TUKUYU KUANZIA MENEJA WA TANESCO, MZEE NDIBALEMA MZEE MWANGOKA HATA MSHUA ANAKAA HUU MTAA PIA MAMA CHIGULU ALIYEKUWA AFISA ELIMU WILAYA YA RUNGWE NAYE ANAKAA HUU MTAA NA NYUMBA INAYOONEKANA NI YA MBUNGE WA KYELA DR HARISON MWAKYEMBE ILIYOPO TUKUYU MJINI HATA KINGOTANZANIA NAYE  MWENYEWE ANAKAA MTAA HUU AMBAO HAUPITIKI KWA MAGALI MADOGO AU KAMA HAULIPENDI GALI LAKO LITAPITA KATIKA BARABARA HII MBOVU LAKINI UZURI WAKE UCHAGUZI HUUUUUUOOOOO.......

MWENDESHA BODABODA AKIENDESHA KWA SHIDA KATIKA BARABARA YA BULYAGA TUKUYU ILIYOJAA MASHIMO HATA WATEMBEA KWA MIGUU NI SHIDA KUPITA NA HUU UKIWA NI WAKATI WA KIPINDI CHA UCHAGUZI

BARABARA ISHAKUWA SEHEMU YA MFEREJI WA MAJI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA WILAYANI RUNGWE NA HUKU VIONGOZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE WAKIANGALIA BILA KUFANYIA UFUMBUZI ILI BARABARA KUPITIKA
KINGOTANZANIA 0752 881456
Post a Comment