Friday, April 17, 2015

WATU 18 AKIWEPO NA MTOTO MMOJA WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI MBAYA YA GARI AINA YA HAICE MAENEO YA KIWIRA MAARUFU KAMA UWANJA WA NDEGE .

GARI AINA YA HAICE LIKIWA MTONI KIWIRA MAENEO YA DARAJA UWANJA WA NDEGE LIKIWA LIMEPATA AJALI NA KUUA WATU 18 AKIWEMO MTOTO MMOJA NA MAJERUHI WAWILI AMBAO WAMEKIMBIZWA KATIKA HOSPITAL YA MISSION IGOGWE NA WANAENDELEA NA MATIBABU

WAKIONGEA NA KINGOTANZANIA AJALI HII IMETOKANA NA MWENDOKASI WA GARI LILILOBEBA WATU KUTOKA MBEYA AINA YA HAICE WALIOKUWA WANAELEKEA KATIKA GULIO LA SIKU YA IJUMAA MAENEO YA KIWIRA  AMBAPO SIKU YA LEO HAKUNA USAFIRI ULIOZOELEKA KWAKUWA MABASI YOTE AINA YA COSTA YAMEGOMA KUSAFIRISHA WATU LEO KUTOKANA NA SABABU ZA MMOJA WA MADEREVA KULIPISHWA FAIN NA SUMATRA AMBAPO MADEREVA WAMEAMUA LEO KUSITISHA KUFANYA KAZI. HIVYO KWA SABABU ZA KUKOSEKANA  KWA USAFIRI HAWA WAFANYA BIASHARA WALIAMUA KUTUMIA GARI HILO KUWAPELEKA KATIKA SOKO LA KIWIRA AMBAPO WAKIWA NJIANI WALIFUATWA NA GARI DOGO LIKIWA NA BAADHI YA  MADEREVA WALIOGOMA ILI KUMWAMURU DEREVA KUACHA KUFANYA BIASHARA KWAKUWA WAO WAMEGOMA. HIVYO KATIKA HARAKATI ZA KUKIMBIZANA GARI ILIPOFIKA MAENEO YA UWANJA WA NDEGE LIKAMSHIDA DEREVA NA LILIPOFIKA ENEO LA DARAJA GARI IKATUMBUKIA MTONI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 18 NA MAJERUHI WAWILI


MUONEKANO WA GARI LILIVYO ANGUKIA MTONI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 18

BAADHI YA MIILI YA MAREHEMU  IKIWA IMELAZWA PEMBENI YA BARABARA BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA KATIKA ENEO KA UWANJA WA NDEGE KIWIRA TUKUYU WILAYANI RUNGWE


MAITI KUMI NA SABA ZIKIWA ZIMEBEBWA KATIKA GALI LA POLISI TUKUYU NA KUFIKISHWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI TUKUYUVIJANA WAUNGWANA WALIOJITOKEZA KUSAIDIA KUBEBA MIILI YA MAREHEMU NA KUHIFADHI CHUMBA CHA MAITI TUKUYU

MTOTO ALIYEPOTEZA MAISHA ALIYEKUWA NA MAMA YAKE MZAZI KATIKA GARI HILO AMBAPO HATA MAMA YAKE AMEFARIKI KATIKA AJALI HIYO


WATU MBALIMBALI WAKAZI WA MJI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE NA MAENEO YAKE WALIJITOKEZA KUSHUHUDIA MIILI YA MAREHEM KAMA WANAWEZA KUWATAMBUA


BAADHI YA MIILI YA MAREHEM WALIFARIKI KATIKA AJALI HII YA BASI DOGO LA DALADALA LINALOFANYA KAZI ZAKE MBEYA MJINI LEO LIKIWA LIMEBEBA WAFANYA BIASHARA WA MBEYA AMBAO WALIKUWA WAKIELEKEA KATIKA SOKO LA KIWIRA TUKUYUAMBAPOWAKIWA NJIANI KABLA YA MITA CHACHE KUFIKA KIWIRA TUKUYU DEREVA AKIWA MWENDO KASI GALI LILIMSHINDA KONA YA MWISHO KATIKA ENEO MAALLUFU LA UWANJA WA NDEGE KIWIRA NA KUTUMBUKIA MTONI AMBAPO WATU 18 WAMEFARIKI DUNIA NA MAJERUHI WAWILI WANAENDELEA NA MATIBABU KATIKA HOSPTAL YA IGOGWE

MOCHWALI YA HOSPITAL YA TUKUYU MAKANDANA AMBAPO WATU 18 WALIOPATA AJALI WAMEHIFADHIWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WANARUHUSIWA KUFIKA KUWATAMBUA NDUGU ZAO
KINGOTANZANIA  -  0752881456
Post a Comment