Saturday, June 13, 2015

KINANA AMTEMBELEA MKULIMA WA SHAMBA LA KISASA LA NDIZI KIJIJI CHA KIKUKURU WILAYANI KYERWA KAGERA

????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa mkulima wa Kahawa na Ndizi Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji ambaye ni mmiliki wa shamba la Ndizi,, Amesema shamba hilo  lina  miche 345 ambayo huvuna magunia 25 na ana shamba la migomba ambalo humpatia mavuno ya  mikungu  kwa mwezi 45.
Mzee Kishunji ambaye anaishi katika kijiji cha Kikukuru kata ya Mabira ameweza kusomesha watoto wawili katika vyuo vikuu vya Dar es salaam na Dodoma na amejenga nyumba ya kisasa yenye thamani kubwa ya fedha kutokana na kilimo bora cha kisasa.
Katibu Mkuu Kinana yuko ziarani katika mikoa ya Kagera , Geita na Mwanza akikagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Umeamka pamema leo.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea shamba la ndizi akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Kagera na  wakiongozwa na mzee 
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Baadhi ywa wananchi wakiwa katika mkutano huko Kikukuru
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua zahanati ya kata ya Kongorogo.
????????????????????????????????????
Wananchi wakimshangilia Kinana wakati ailpowasili katika kijiji cha Kongorogo
????????????????????????????????????
Wananchi wakimshangilia Kinana wakati ailpowasili katika kijiji cha Kongorogo
????????????????????????????????????
Hili ndilo Jengo lenyewe  linalojengwa mpakani hapo.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi hawapo pichani wakati alipotembelea soko la biashara la Kimataifa linalojengwa Kigorogoro Mpakani mwa Tanzania na Uganda 
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM akifungua maji katika bomba wakati alipotembelea mradi wa maji wa Kibingo
????????????????????????????????????
Wananchi wakimpokea kwa shangwe Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana  alipowasili kwenye uwanja wa Kibindo
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Kibingo.
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Kibingo wilayani Kyerwa.
????????????????????????????????????
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera akiwasalimu wananchi wa Isingiro, wilaya ya Kyerwa.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Isingiro, wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Isingiro, wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi wakati alipowasili kwenye mkutano  mjini Isingiro.
????????????????????????????????????
Baadhi ya akina mama waliokuwepo kwenye mkutano wakimshangilia Kianan.
????????????????????????????????????
Baadhi ya migomba katika shamba la mzee Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Isingiro
????????????????????????????????????
 Mbunge wa Kyerwa Bw.Eustace Katagira akihutubia wananchi wa Isingiro kwenye mkutano wa hadhara ambao Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alikuwa mgeni rasmi.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchikatika mkutano wa hadhara Isigiro
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh. John Mongela, kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Kagera.
Post a Comment