Friday, November 27, 2015

BAADA YA ZIARA YA KUSHITUKIZA BANDARIN YA WAZIRI MKUU LEO.Rais avhukua maamuzi mazito

Rais wa jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli amesimamisha kazi kuanzia leo tarehe 27.Nov 2015 Kamishna mkuu wa TRA nchini ndugu Rished Bade kufuatia ziara ya kushitukiza ya waziri mkuu mh majaliwa kasimu majaliwa mapema leo asbhi baada ya kubaini bandari ya dar es salaam kupitisha makontena zaidi ya miatatu na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 80 na nafasi yake kukaimiwa na katibu mtendaji wa tume ya mipango dkt philip mpango huku taarifa hiyo iliyosomwa na katibu mkuu kingozi balozi Ombeni Sefue ikiwataka maofisa wote wa TRA kutosafiri nje ya nchi mpaka pale uchunguzi dhidi yao utakapo kamilika.

No comments: