Thursday, January 7, 2016

MSIBA. TAARIFA YA MSIBA WA PETER CHIBWAYE AFISA MALIASIRI WILAYA YA RUNGWE.

Marehem Peter Chibwaye amepatwa na umauti leo 07.01.2016 Katika Hospital ya makandana Tukuyu mjin baada kuugua kwa muda mfupi sana alfajil na kufikia saa tatu asubuhi kuaga dunia.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Amen

Post a Comment