Saturday, May 6, 2017

BREAKING NEWS;MAITI 32 ZAPOKELEWA KATIKA HOSPITALI YA LUTHERAN WILAYANI KARATU


Habari zilizotufikia hivi punde kutoka katika hospitali ya Lutheran Karatu miili 32 imepokelewa ambapo walimu ni wawili, dereva mmoja na wanafunzi 29 miongoni mwao wanafunzi wa kiume ni 11 na wasichana 18.

\


Kwa matukio zaidi endelea kufuatilia KINGOTANZANIA
Post a Comment