Wednesday, May 31, 2017

BULEMBO AONGOZA MAZISHI YA MDOGO WA SPIKA WA ZAMANI MAREHEMU SAMWELI SITTA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaji Abdallah Bulembo na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri, wakiwa na nyuso za majonzi wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora


Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa salam za rambirambi wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akitoa salam za rambirambi wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akimkabidhi rambirambi ya CCM, mjane wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania Samwel Sitta, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika huyo wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi akimpa pole Mjane wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, Samwel Sitta, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika huyo wa zamani wa Bunge la Tanzania Marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora 

Mjane wa Spika wa zamani wa Bungela Tanzania, Samwel Sitta, Margareth Sitta, akimfariji Hajjat Kagori ambaye ni Mama wa Marehemu, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora 
Edward Sitta ambaye ni mdogo wa marehemu, akisoma wasifu wa marehemu, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora


Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania Marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora 


Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, akiwa na baadhi ya wanafamilia, Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo. Kulia ni Benjamin Sitta.
Naibu Meya wa zamani wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Songoro Mnyonge, akitoa salam za rambi rambi, wakiwa msib wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhajj Abdallah Bulembo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi akizunguma jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wzazi Alhajj Abdallah Bulembo, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo. Katikati ni Mbunge wa zamani wa Tabora Aden Rage.

Jeneza lenye mwwili Peter John Sita, Mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania Marehemu Samwel Sitta, ukiwa katika eneo la kuagwa



Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tazania, Alhajj Abdallah Bulembo akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora





Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora



Katibu wa Siasa na Oganaizesheni Makao Makuu ya Jumuiaya Umoja wa Wazazi Tanzania Ndugu Mgaya akitoa heshima za mwsho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora

Baadhi ya wanafamilia wakitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora



Hajjat Kagori ambaye ni mama wa Marehemu, akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora


Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika wa zamani wa Bunge, Samwel Sitta, akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika huyo wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora


Kaburi likiwa tayari kwa ajili ya mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akiwa na badhi ya wanafamilia kwenye mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora 
Jeneza likipekwa kwenye kaburi, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora



Jeneza likiwekwa kwenye kaburi wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdalla Bulembo (mwenye shati la kijani), akishiriki kuweka sawa jeneza, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora



Jeneza likitumbukiwa kaburini hatua kwa hatua, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora



Waombolezaji wakiongoka makaburi baada ya kumzika mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo. PICHA: BASHIR NKOROMO

No comments: