Monday, May 22, 2017

LEO NDANI YA KIVUTIO CHA KAPOLOGWE WILAYANI RUNGWE FULL KIPUPWE

WILAYA YA RUNGWE MKOA WA MBEYA IMEJALIWA KUWA NA VIVUTIO VYA KIUTALII VIZURI NA VYA KUENDEZA SANA MACHONI PA WATU HIVYO WATANZANIA NA WAGENI WA NJE KARIBU MJIONEE WENYEWE HAPA NI MOJA YA KIVUTIO YA MAPOROMOKO YA MAJI YA  KAPOLOGWE HIKI KIVUTIO NI MOJA YA VIVUTIO ZAIDI YA 18 WILAYANI RUNGWE AMBAVYO DUNIANI KOTE  UNAPATA RUNGWE TU. KARIBU MJIONEE LEO NAANZA NA KAPOLOGWE


UINGIAPO KATIKA MAPOROMOKO YA MAJI YA KAPOLOGWE PANA MLANGO WA KUINGILIA KWA WENYEJI WALIJENGA HUU MLANGO ILI IWE RAHISI KUKUSANYA MAPATO KWA WALE WOTE WAINGIAO KATIKA PANGO HILO LINALOVUTIA SANA KWA MAPOROMOKO YA MAJI YAPITAYO MBELE YA USO UWAPO NDANI YA PANGO

AMOSI AKIPATA POZI LA PICHA KUTOKA KWA KINGOTANZANIA

SAFARI YA KUINGIA KATIKA PANGO LA MAPOROMOKO YA KAPOLOGWE

AMOS AKIWA KAPOZI NDANI YA PANGO LA KAPOLOGWE AKIPUNGA UPEPO MWANANA

KINGO  WA KINGOYANZANIA AKIWA KAPOZI KATIKA PANGO LA MAPOROMOKO YA KAPOLOGWE KIUKWELI UKIWA HAPO HUTAMANI KUTOKA HARI YA HEWA NA MAANDHARI NI SAFI SANA

UWAPO NDANI YA PANGO UNAJIONEA MAANDHARI YA MAJI YATOKAYO JUU NA KUPITA MBELE NA KUTUA ZAIDI YA MITA 80 CHINI


KINGOTANZANIA
0752 881456
Post a Comment