Wednesday, May 31, 2017

Mamlaka ya Hali ya Hewa yatahadharisha Upepo mkali ukanda wa Pwani


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali kwenye Mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara kesho Mei 31.

Post a Comment