Monday, May 22, 2017

Zitto, Vyombo vya Habari Fuatilieni hili...

"Natamani vyombo vya Habari kufanya uchambuzi wa kina wa tozo ambazo Serikali imesema imeondoa kumsaidia mkulima. Hii ni Habari pekee ambayo inapigiwa debe mno na Serikali kiasi cha kuficha kabisa uhalisia kwamba Mwaka Jana Serikali ilitoa 3% tu ya fedha za Bajeti ya Maendeleo ya Kilimo.

Nataraji kuwa taasisi Kama MVIWATA zitatupatia uchambuzi wao" Amesema hayo kupitia ukurasa wake wa 
Post a Comment