Sunday, July 16, 2017

Korea Kusini yataka mazungumzo ya kijeshi na Korea Kziniaska

South Korean solders at a border village

Haki miliki ya pichaCHUNG SUNG-JUN
Image captionKorea Kusini yataka mazungumzo na Korea Kaskazini
Korea Kusini imependekeza kufanyika mazungumzo ya kijeshi na Korea Kaskazini, baada ya majuma kadhaa ya msukosuko, kufuatia hatua ya Korea Kaskazini ya kufanya majaribio ya makombora.
Ikiwa mazungumzo hayo yatafanyika, yatakuwa ndiyo ya kwanza ya juu tangu mwaka 2015.
Maafisa wa vyeo vya juu walisema kuwa mazungumzo hayo yatalenga kisitisha vitendo vyote vyote ambavyo huchangia kuwepo misikusuko ya kijeshi katika eneo lenye ulinzi mkali kati ya Kusini Kaskazini.
Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in tangu mwanzo alikuwa ameashiria kuchukua hatua ya kuleta ushirikiano wa karibu na Korea Kaskazini.
North Korean TV releases photos of Tuesday's missile launchHaki miliki ya pichaREUTERS
Image caption

No comments: