 |
MAREHEM ERASTO ULIMBIKA KAPOJA (MSTAFU WA JESHI POLISI) |
 |
NDUGU WA MAREHEMU TUKIWA MSIBANI ILOMBA SAI JIJIN MBEYA |
 |
MTUMISHI NIPO NA BABA MCH MWALWEGA |
MZEE ERASTO ULIMBIKA
KAPOJA AFARIKI DUNIA
AMEFARIKI DUNIA JANA TAREHE 29.09.2012 NA TUNATARAJIA MAZIAKO KUFANYIKA NYUMBANI
KIJIJINI MANOW TUKUYU SIKU YA TAREHE 02.10.2012 SIKU YA
JUMANNE KATIKA KANISA LA KKT DAYOSISIS YA KONDE. MAREHEM JANA ASUBUHI ALIJISIKIA VIBAYA AKAAMUA KWENDA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NA ALIKWENDA KWA MGUU ILI AKAPIME BP ALIPOFIKA WAKAMPUMZISHA BAADA YA MUDA MFUPI AKAPOTEZA MAISHA. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
No comments:
Post a Comment