DIWANI WA KATA YA MALINDO WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA AFARIKI DUNIA
DR RHODES MWAIKAMBO ENZI ZA UHAI WAKE
DR RHODES MWAIKAMBO WAPILI KUTOKA KULIA MSTALI WA PILI AKIWA KATIKA KIKAO CHA MADIWANI SIKU ILIPOVUNJWA HALMASHAURI YA RUNGWE NA KUPATA RUNGWE NA BUSOKELA KWAHIYO HIKI NDICHO KIKAO CHAKE CHA MWISHO
No comments:
Post a Comment