|
LILY MWAKIPESILE AKIWA KATIKA POZI LA FURAHA AKIWA KATIKA SIKU YAKE YA KUANGWA NA NDUGU NA JAMAA |
|
MHE, KIBONA MBUNGE WA JIMBO LA ILEJE NA MKEWE WAKIFURAHI PAMOJA NA LILY KATIKA SIKU YAKE HII MUHIMU |
|
USIKU HUU KATIKA POZI NA TABASAM ZITO |
|
LILY AKIWA NA MPAMBE WAKE |
|
LILY AKITOA ZAWADI YA KEKI KWA MLEZI WAKE MHE, KIBONA MBUNGE WA JIMBO LA ILEJE NA WALIOPO NYUMA NI WANAKAMATI WALIMPA LILY ZAWADI YA PESA SH 3,000,000/= |
www.kingotanzania.blogspot.com pamoja na KINGO SUPER PRODUCTION . Inakutakia dada Lily maisha mema na yenye Amani.
KINGO
0752881456
No comments:
Post a Comment