Wednesday, October 24, 2012

MHESHIMIWA MBUNGE WA VITI MAALUM WA CCM MARY MWANJELWA AWASILI SALAMA JIJINI MBEYA KUTOKA KWENYE MATIBABU. BAADA YA AJALI ILIYOTOKEA MBALIZI , APOKELEWA NA MAMA LAWA, MKUU WA WILAYA

MHE, MARY MWANJELWA AKIWASILI MBEYA AKITOKEA KUTIBIWA

KWA FURAHA AKISALIMIANA NA MAMA LAWA NA MWAKIPESILE

ALIPOKELEWA NA MKUU WA WILAYA YA MBEYA

SIKU ALIPOPATWA NA AJALI MBAYA GALI NA WATU 11 KUPOTEZA MAISHA ENEO LA MBALIZI MBEYA NA KUPELEKWA DAR ES SALAM KWA MATIBABU ZAID NA SASA AMELEJEA NYUMBANI KWAKE MBEYA SALAMA.

No comments: