TAA ZA BARABARANI JIJINI MBEYA ZAZIDI KUGONGWA NA MAGARI KILA KUKICHA
GARI
AINA YA COSTA LEO ALFAJIRI IMEPARAMIA NGUZO MBILI ZA TAA ZA BARABARANI
ENEO LA BARABARA KUU IENDAYO ZAMBIA AJALI HIYO IMESABABISHWA NA MWENDO
KASI DEREVA ALIKUWA ANAWAHI ABIRIA KITUO CHA MWANJELWA NA UYOLE MBEYA
KATIKA BASI HILO HAKUNA ALIYEJERUHIWA ILA DEREVA KAKIMBIA KUKWEPA MKONO WA SHERIA
HIZI NDIZO NGUZO ZA TAA ZA BARABARANI ZILIZOGONGWA NA BASI HILO ASUBUHI YA LEO
No comments:
Post a Comment