Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya |
Bwana harusi Emmanueli na mpambe wake Frank wakiingia kanisani |
Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa |
Sasa bwana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa |
Mchungaji Emmanuel Mwasota toka E.A.G.T toka DSM ndiyo aliyofungisha ndoa hiyo |
Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea |
Hapa wakipata mibaraka ya ndoa kutoka kwa wachungaji mbalimbali wa kanisa hilo la AGAPE |
Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe |
Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota |
Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa |
Maharusi wakiwa na familia na wazazi wao |
Sherehe fupi ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika bustani ya ccm jijini mbeya |
Chagua Maisha Unayotaka Kuyaishi Na Uyaishi Kweli’
Filikunjombe Anena Mbele Ya Mangula
Viongozi
wa CCM mkoa Njombe wakishirikiana na makamu mwenyekiti wa CCM Taifa
Phili Mangula ( wa pili kulia ) kuwaongoza wanachama wapya wa CCM zaidi
ya 600 waliojiunga na CCM jana wakati wa mapokezi ya makamu huyo wa
kwanza kulia ni mbunge wa jimbo la Njombe kusini na spika wa bunge Anne
Makinda wa tatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo
Sanga ambae ni mbunge wa jimbo la Njombe kasikazin na anayefuatia ni
katibu wa CCM mkoa wa Njombe Hosea Mpangike
Deo Filikunjombe miongoni mwa wananchi
Msafara wa pikipiki kwenye mapokezi ya Mangula Njombe
Deo Filikunjombe miongoni mwa wananchi
Picha na Said Ng'amilo wa Mjengwablog
MBUNGE wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe awakuna wapiga
kura wa jimbo la Njombe Kaskazini Linaloongozwa na mbunge wake
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga Kwa kuwalipua watendaji
wabovu serikalini ,mbele ya makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi (
CCM) Tanzania bara Philip Mangula.
Filikunjombe ambea alipewa nafasi ya kusalimia katika mkutano huo mkubwa wa mapokezi ya Mangula mkoani Njombe alisema kuwa masikitiko ya wananchi juu ya serikali ya CCM yanatokana na baadhi ya viongozi wabovu ndani ya Chama na serikalini ambao wamekuwa wakifanya kazi chini ya kiwango na kupelekea wananchi kukichafua Chama tawala.
" Ndugu zangu wananchi wa Makambako na mkoa wa Njombe Chama chetu CCM ni Chama kizuri sana na safu hii ya sasa chini ya Rais Kikwete ,Kinana na Mangula ni safu ya uhakika na itakiwezesha Chama chetu kuendelea kuaminiwa zaidi na watanzania ...ila tatizo ni viongozi wachache wa serikali wasiowajibika katika nafasi zao"kauli iliyowakuna wananchi na kushindwa kujizuia kushangilia huku wakiimba wewe ni Jembe .
Hata hivyo Filikunjombe alisema kuwa ili Chama kuendelea kupendwa na akina Mangula na Kinana wanapaswa kusaidiwa na watanzania wote kwa kuombewa zaidi ili kuendelea kuifanya kazi hiyo bila woga ndani ya chama.
Kwa Upande wake Mangula mbali ya kusifu mapokezi makubwa ya kihistoria Katika mji wa Makambako na Njombe mkoani Njombe aliweza kutoa ya Moyoni kuhusu Kati yake na Rais Jakaya Kikwete kwa Madai kuwa yeye alikuwa hajui chochote juu ya uteuzi wake na kuwa alisitaajabu kupokea simu ya Kikwete kuhusu kusudio la uteuzi wake.
" Kweli Mimi nilikwenda Dodoma katika mkutano mkuu wa CCM Kama mualikwa ila Nikiwa Hotelini nilipokea simu ya mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Kikwete akiomba kuniteua kuwa makamu mwenyekiti na baada ya kwenda Ukumbini wajumbe wote walinipa kura zote za ndio...kweli namshukuru sana mwenyekiti wangu na wanachama wote na sasa ni kazi zaidi na sitawaangusha"
Hata hivyo aliwataka wana CCM kufanya vikao bila kuchota na kuwa wasizingizie kukosa ajenda kwani hata kukosa ajenda ndani ya CCM ni ajenda Kukosa agenda pia ni agenda ndani ya CCM pia yaweza kuwa ajenda.
Aidha amehimiza nidhamu na taratibu ndani ya CCM kuendelea kuzingatiwa ili kukiwezesha Chama kuwa na amani na kuwa iwapo taratibu ndani ya Chama hazitazingatiwa upo uwezekano wa Amani ndani ya nchi kutoweka.
Alisema kuwa haitapendeza kuona Tanzania inafika mahali inaendeshwa bila Chama iwapo tutaruhusu wasiopenda Amani kuendelea kuvuruga Amani yetu iliyopo...

LOWASA NA HARAMBEE MAKANISANI NINI SIRI YAKE?
Lowassa Ashiriki Harambee Ya Kanisa Akyeri Meru
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akipokelewa na viongozi wa Kanisa la Lutherani usharika wa
Akyeri,Dayosisi ya Meru Mkoani Arusha kwa ajili ya kuongoza harambee ya
kuchangia fedha kwa ajili ya ukarabati wa kanisa hilo,iliyofanyika leo
Mkoani humo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa tatu
kushoto) akiongozana na Askofu wa Kanisha hilo la Lutherani usharika wa
Akyeri,Dayosisi ya Meru Mkoani Arusha,Askofu Akyoo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akihutubia muda mfupi kabla ya kuanza kwa harambee ya kuchangia ujenzi
wa Kanisa la Lutherani usharika wa Akyeri,Dayosisi ya Meru Mkoani
Arusha.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
ahadi ya mchango kutoka kwa mmoja wa wamini wakati wa harambee ya
kuchangia ujenzi wa Kanisa la Lutherani usharika wa Akyeri,Dayosisi ya
Meru Mkoani Arusha.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiondoka
kanisani hapo baada ya kumalizika kwa harambee ya kuchangia ujenzi wa
Kanisa la Lutherani usharika wa Akyeri,Dayosisi ya Meru Mkoani Arusha.
=========== ========= =========
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
amesisitizia tena kuwa tatizo la ajira kwa vijana ni jambo la hatari kwa
usalama wa nchi,wakati alipokuwa katika harambee ya kuchangia ukarabati
wa kanisa la kilutheri usharika wa Akyeri Meru mkoani Arusha, Mh
lowassa ameonya kuwa suala hilo lisiposhughulikiwa haraka litasababisha
hali ya hatari. ”tunashuhudia
maandamano katika mataifa ya ulaya vijana wakidai hali bora ya maisha
pamoja na ajira.hali hiyo tusipoangalia inaweza kutokea hapa nchini
kwetu.
Huko
nyuma niliwahi kusema kuwa makanisa, mashirika na watu binafsi wasaidie
juhudi za serikali kutatua suala hilo”alisema Lowassa. Lowassa
ambaye katika harambee hiyo aliongozana na marafiki zake, ambapo yeye
na familia yake pamoja na marafiki zake wamechangia kiasi cha shilingi
millioni 33.2.
Zaidi ya shilingi millioni 160 zikiwa ni fedha tasilimu pamoja na ahadi zilipatikana katika harambee hiyo.
Kwa
upande wake askofu Akyoo wa jimbo la Meru alimsifu Lowassa kwa
uchapakazi wake popote alipokuwa.”Wakati ulipokuwa Waziri Mkuu
ukimsaidia rais tulishuhudia uwezo wako mkubwa katika kufuatilia
majukumu yako”alisema na kuongeza kuwa Lowassa ni mtu wa ibada
No comments:
Post a Comment