LEO NIMETEMBELEA SHULENI ANAKOSOMA MTOTO WANGU NA KULA NAO CHAKULA CHA MCHANA |
SHULENI HAPO WAZAZI TUMEPATA NA TAARIFA YA SHULE KUTOKA KWA MWALIM MKUU FARAJA MHINA ALIYESHIKA KALATASI NA ALIYE KAA NDIO MWENYEKITI WA BODI YA SHULE |
BAADHI YA MAJENGO YA SHULE YA NURU |
MWALIMU MKUU MSAIDIZI ALIYE CHUCHUMAA NA BAADHI YA WAZAZI PAMOJA NA WANAFUNZI |
WANAFUNZI WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANA |
KUAZIA KULIA HYLINE MATHIAS, LINDA BENARD,CAROLINE KINGO NA MWISHO MIRIAM MWASAJONE |
BAADA YA WIKI YA TATU ZA MAPUMZIKO YA KUUNGA PINGU ZA MAISHA SASA MR DAUD MWASAMBILI NA MRS JANEY DAUD WANAFURAHIA MAISHA YA NDOA HA HA HA HA HA SAFI SANA KIJANA KWA KUCHAGUA MKE HONGERA |
MR & MRS DAUD MWASAMBILI WAKIFURAHIA CAMERA YA KINGO KWA STAILI YA AINA YAKE HA HA CHEZEA DAUD NA JANEY WEWEWEEEEE |
No comments:
Post a Comment