 |
|
Meneja
wa kanda Lucresia Makiriye akizungumza wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali wa
NMB jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
 |
|
Kamanda
wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani akizungumza umuhimu wa wafanyabiashara
kutotoa namba za siri za kadi za ATM katika mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB
mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa rehema Jijini Mbeya.
|
 |
|
Baadhi
ya wafanyakazi wa NMB wa mkoa wa jiji la Mbeya wakifuatilia kwa makini maelezo
kutoka kwa mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo ya wajasiriamali wa NMB mwishoni mwa
wiki.
|
 |
|
Baadhi
ya wajasiriamali na wateja wa NMB wakimsikiliza Kamanda wa polisi mkoa wa
Mbeya Diwani Athumani kwenye mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wa NMB
jijini mbeya.
|
 |
|
Baadhi
ya wafanyabiashara wakifuatilia mafunzo ya NMB jijini Mbeya.
|
 |
|
Mmoja
wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Jeremiah Lyimo akifafanua jambo kuhusu
mikopo katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa
wiki.
|
 |
| Mmoja wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Beatrice Mwambije akielezea faida za mikopo |
 |
|
Mwenyekiti
wa Chama Cha Wafanyabiashara, viwanda na Kilimo, (TCCIA) Mkoa wa Mbeya Julius
Kaijage akisisitiza jambo wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyotolewa
Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
 |
| Mmoja wa
wateja wa NMB akichangia wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyoendeshwa
katika ukumbi wa Rehema Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
 |
|
Ofisa
Ardhi wa Jiji la Mbeya Castro Ntala akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa
wajasiriamali wa NMB Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
 |
|
Mmoja wa
wajasiriamali akichangia jamabo katika mafunzo ya wateja wa NMB jijini Mbeya.
|
 |
| Mmoja
wa wajasiriamali ambaye ni mteja wa Be nki ya NMB Mkoa wa Mbeya Chifu Lyoto
akiuliza swali juu ya matatizo na kero mbalimbali wanazokutana nazo wateja
katika mikopo.
|
 |
|
Mwakilishi
wa wafanyabiashara na wateja wa NMB jijini Mbeya Ipini Ipini akizungumza
mafanikio yatokanayo na Benki ya NMB wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali mkoa
wa Mbeya.
|
 |
| Baadhi ya watumishi wa NMB Mbeya |
 |
| Baadhi ya watumishi wa NMB makao makuu |
 |
| Mwakilishi wa wafanyabiashara na wateja wa NMB jijini Mbeya Ipini Ipini
akizungumza mafanikio yatokanayo na Benki ya NMB wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali
mkoa wa Mbeya. | |
..............................................................................................................
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kiikwete akihutubia wageni waliohudhuria sherehe za
makabidhiano ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo
jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho kikwete wakigonganisha Glasi na Rais Xi Jinping wa
China wkati wa dhifa ya kitaifa iliyofanyika ikulu jijini Dar Es Salaam
jana jioni.Rais Xi Jinping wa China yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya
siku mbili.Ni ziara yake ya kwanza barani Afrika tangu achaguliwe
kuliongoza taifa la China hivi karibuni na Tanzania inakuwa nchi ya
kwanza kuitembelea barani Afrika(picha na Freddy Maro)
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete na mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan
wakiweka maua katika makaburi ya wataalamu wa China waliofariki wakati
wa ujenzi wa Reli ya TAZARA huko katika kijiji cha Majohe,Ukonga nje
kidogo ya jiji la Dar es Salaam huku Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni
wa Rais Xi Jinping wakishuhudia(picha na Freddy Maro)
...................................................................................................................................................................
No comments:
Post a Comment