| BAADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU AMBAO KWA SASA NDIO WACHUNGAJI WASTAFU WAKIWA WANAJADILI MAMBO KABLA YA MKUTANO KUANZA |
| WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA KANISA LA KKT KUTOKA USHARIKA WA IKOMBE ULIO NG"AMBO YA ZIWA WAKIWASIRI MATEMA KWA AJILI YA MKUTANO |
| MTUMISHI WA MUNGU AKIWASILI KUTOKA USHARIKA WA IKOMBE ULIOPO NG"AMBO YA ZIWA NYASA |
| KWAYA YA WATOTO KUTOKA USHARIKA WA IPINDA WAKIWA KATIKA MKUTRANO MKUU WA KANISA KWA AJILI YA KUMSIFU MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI |
| KATIBU MKUU WA KANISA LA KKT DAYOSISI YA KONDE MCH IKUPILIKA MWAKISIMBA AKIELEZA RATIBA NZIMA YA MKUTANO KWA WAJUMBE |
| BAADHI WA WACHUNGAJI WASTAFU WAKITANMBULISWA MBEYA YA MKUTANO MKUU UNAOENDELEA MATEMA WILAYANI KYELA |
| MKUTANO UKIENDELEA KATIKA UKUMBI WA KANISA LA KKT USHARIKA WA MATEMA WILAYANI KYELA |
| KUSHOTO NI MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA KONDE MCH GEOFREY MWAKIHABA AKIWA NA WAGENI WAALIKWA NA WENYEJI WAKISIKILIZA NENO LA UFUNGUZI KWA UMAKINI |
| MCH AMBELE MWAIPOPO AKITOA SALAM ZA MAKAO MAKUU YA KANISA LA KKKT ARUSHA AMBAPO YEYE ANAFANYIA KAZI HUKO |
KINGOTANZANIA
0752881456

No comments:
Post a Comment