![]() |
| MUNGU WANGU BARIKI KAZI YA MIKN YANGUPAMJA NA MAJARIBU YA DUNIA LAKIN MUNGU HAJANIPUNGUKIA KWA WEMA WAKE |
![]() |
| MUNGU WANGU NAOMBA NIWE MTU MWEMA MBELE ZAKO NA WATU WAKO PIA KUWA MZALENDO KWA NCHI YANGU YA TANZANIA |
| NIKIWA KIJIJINI MZENGA WILAYA YA KISALAWE MKA WA PWANI NA BABA MKUBWA MZEE KINGO TUKIONGEA MAWILI MATATU |
| KINYWAJI CHETU UZARAMONI |
| NIKIWA NIMTMBELEA KUZURU KABURI LA BABA YANGU MZEE RAMADHAN MOHAMMED KINGO KATIKA MAZIARA YA MZEE KINGO |
| MZEE MOHAMMED KINGO SIKU NILIPOZALIWA ALIPANA MNAZI HUU HIVYO NAHESHIMU SANA KUWEPO NA MNAZI ULIONA UMLI WANGU UKIENELEA KUTOA HUDUMA YA CHAKULA KIJIJINI KWETU MZENGA |


No comments:
Post a Comment