| MMOJA WA WADAU MA MAZINGIRA WILAYANI RUNGWE |
| KAKA MKUBWA IMMA KATULE AKITETA JAMBO NA AFISA MALIASILI WAKATI WA UGAWAJI WA MITI KWA WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE |
| KULIA AFISA MALIASILI PETER CHIBWAYE AKIWA MAKINI KUHESABU MITI ILI KILA MTU ALIYEJITOKEZA KUPATA JAPO MITI NA KWENDA KUPANDA SHAMBANI KWAKE |
| KULIA MDAU WA KINGOTANZANIA ADAM KAKYOTA AKIWA ANAPATA MITI TAYARI KWA KWENDA KUPANDA SHAMBANI KWAKE |
| WADAU WA MAZINGIRA WAKIPAKIA MICHE YA MITI KWENYE GALI TAYARI KWA KUIPNDA KATIKA MASHAMBA YAO |
| KULIA MHE, BONNY MWASIKILI AKIWA NA WAHESHIMIWA MADIWANI WENZAKE WAKIANGALIA UGAWAJI WA MITI KWA WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE WALIOJITOKEZA KUCHUKUA MITI ILI KUPANDA KATIKA MAENEO YAO |
| KUSHOTO NI DJ ALEX AKIWA NA MKEWE ALIE KUSHOTO WAKIWA WANASUBIRI ZAMU YA KUPATA MITI ILI KWENDA KUPANDA KATIKA SHAMBA LAO |
| MKURUGENZI WA MJI MDOGO WA TUKUYU KUSHOTO AKIWA NA VIJANA WA TUKUYU KATIKA ZOEZI LA KUGAWA MITI MBALIMBALI KATIKA KITALU CHA HALMASHAURI YA RUNGWE |
| NAYE KINGO HAKUWA MBALI NA ZOEZI LA KUPATA MITI |
| MHE DIWANI KATA YA MSASANI AKIWA ANAMSAIDIA KINGO KUPIGA PICHA BAADA YA KUONA KINGO YUKO BIZE NA KUCHUKUA MITI |
| KAZI NZITO MARY KINGO AKIWA HOI BADA YA BOX ALILOBEBEA MITI KUHARIBIKA LAKINI LAZIMA MITI IFIKE SHAMBANI NA KUPANDWA |
No comments:
Post a Comment