| BAADHI YA WANAKWAYA NA VIONGOZI WAO WAKIWA KATIKA IBADA FUPI YA KUWATEMBELEA WATOTO WALEMAVU KATIKA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA |
| BAADHI YA WALIMU WA SHULE YA WALEMAVU YA KATUMBA |
| MRS KINGO AKIWA SAMBAMBA NA WATOTO |
| MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI KATUMBA OMWILE KALYOTO AKISIKILIZA KWA MAKINI MAHUBIRI TOKA KWA MCHUNGAJI WA KKKT TUKUYU MJINI ALIYE ONGOZANA NA WANAKWAYA WA CALVARY |
| BAADHI YA VITU NA CHAKULA VILIVYOKABIDHIWA KWA WATOTO WA SHULE YA KATUMBA KUTOKA KWA KWAYA YA CALVARY KKKT USHARIKA WA TUKUYU MJINI |
| "YESU ANAPENDA NA WATOTO....." MMOJA WA WATOTO AKIONGOZA PAMBIO LA KUMSIFU MUNGU |
| MCHUNGAJI WA KKKT NANCE MTERA AKIWA NA WATOTO |
| BAADHI YA VITU VILIVYOKABIDHIWA NA WANAKWAYA WA CALVARY WA KANISA KUU LA KKKT TUKUYU KWA WATOTO WA SHULE YA WALEMAVU TUKUYU |
| UKAFIKA WAKATI WA POZI LA PICHA |
| MWAKA 2013 KWAYA YA CALVARY WAMEANDAA ALBAM YA VIDEO YA NYIMBO ZA INJILI ILIYONA JINA LA ( TUMEBEBA JINA KUBWA) NA IMEZINDULIWA MWEZI WA KUMBI NA MBILI 2013 KATIKA USHARIKA WA TUKUYU MJINI |
KINGOTANZANIA - 0752881456



No comments:
Post a Comment