![]() | ||
| MAMA MCH, RUTH MWALWEGA AKIMUUGUZA MWANAE DAKIKA ZA MWISHO ZA UHAI WAKE DADA NESSY BOAZ GAPPI KATIKA HOSPITAL YA IGOGWE TUKUYU WILAYANI RUNGWE |
![]() |
| BABA MCH NAZARETH MWALWEGA AKIWA HOSPITAL YA IGOGWE TUKUYU WILAYANI RUNGWE AMBAPO ALIPOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU NESSY GAPPI SALASALA |
![]() |
| MR BOAZI GAPPI SALASALA MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKEWA NA MEWE NESSY KATIKA HOSPITALI YA IGOGWE TUKUYU |
![]() |
| SAFARI YA KUTOKA IGOGWE HOSPITALI KUELEKEA TUKUYU MOCHWARI KUHIFADHI MWILI WA MAREHEM NESSY KUSUBIRI MAZIKO |
| WAFIWA |
| MR BOAZI GAPPI SALASALA AKIWA NA MAJONZI YA KUONDOKEWA NA MKEWE NESSY BOAZI |
| WAFIWA |
| IBADA ILIONGOZWA NA KANISA LA RC PAROKIA YA KISA KATIKA KIGANGO MPUGUSO KATIKA MJI WA USIRIKA TUKUYU MJINI |
| MSAFARA KUELEKEA KATIKA MAZIKO YALIYOFANYIKA NYUMBANI KWAKE NA MUMEWAKE KAYUKI TUKUYU MJINI |
| WATU WAKITOA SALAM ZA MWISHO KWA MAREHEM NESSY SALASALA YUMBANI KWAKE |
| MKUU WA WLAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIWAONGOZA WANANCHI WA RUNGWE NA SEHEMU MBALIMBALI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU NESSY BOAZI GAPPI SALASALA |
| WATOTO WA MAREHEMU WAKIONGOZWA NA ROSE WAKIMUAGA MAMA YAO KWA MALA YA MWISHO |
| KUELEKEA MAKABURINI |
| JENEZA LIKIINGIZWA KABURINI |
| ULIUMBWA KWA UDONGO, UTARUDI KWA UDONGO MAVUMBI KWA MAVUMBI MWENYEZI MUNGU ATAKUFUFUA SUKU YA MWISHO |
| MUME WAKE MAREHEM BOAZI SALASALA AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA MAREHEM MKE WAKE NESSY BOAZI |
| MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA NA MKE WAKE WAKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA NESSY SALASALA |




No comments:
Post a Comment