| TUKUYU STARS WAKIWA WANATOKA NJE KWA AJILI YA MAPUMZIKO HUKU WAKIONGOZA KWA GOLI MOJA AMBAPO KIPINDI CHA PILI MUUNGANO WAKAKUBALI KICHAPO CHA MAGOLI MAWILI ZAIDI NA KULALA KWA TATU BILA |
| TIMU YA MUUNGANO KUTOKA LWANGWA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKITOKA MAPUMZIKO |
| MUUNGANO WAKIWA KATIKA CHUMBA CHA MAPUMZIKO |
| CHUMBA CHA MAPUMZIKO WACHEZAJI WA TUKUYU STARS WAKIWA WANAPATA MAWILI MATATU TOKA KWA MASHABIKI NA VIONGOZI |
| WACHEZAJI WA TUKUYU STARS WAKISHANGILIA BAO LA TATU |
| MASHABIKI WA TUKUYU STARS WAKIFURAHIA MWENDO WA USHINDI |
| WACHEZAJI WA TUKUYU STARS NA BAADHI YA MASHABIKI WAKIFURAHIA USHINDI BAADA YA TIMU YAO KUCHABANGA MAGOLI MATATU KWA NUNGE TIMU YA MUUNGANO KUTOKA LWANGWA BUSOKELO |
| BAAADA YA MCHOZO KATI YA TUKUYU STARS & MUUNGANO YA BUSOKELO WACHEZAJI WA TUKUYU PICHANI WAKIPATA MAWILI MATATU TOKAKWA KOCHA MAJEMBE |
KWA PAMOJA TUTASHINDA (BANYAMBALA)

No comments:
Post a Comment