Katika mahojiano maalum kutokea
jijini London, nchini Uingereza , Nditi amesikitishwa na serikali
kushindwa kutoa uraia wa nchi mbili kwasababu wanaona uchungu kuona nchi
yao inafanya vibaya wakati wanao uwezo wa kutoa mchango wao.
“Binafsi kama serikali ya nchi
yetu itaruhusu uraia wa nchini mbili, niko tayari kuja kuichezea taifa
stars hata kesho”. Amesema Nditi.
No comments:
Post a Comment