| ALIYEKAA NDIO MUAGWA IMELDA ISHUZA AKIWA NA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO ALIYEVAA SUTI NDIYE ALIYEKAIMU KABLA YA KUMPATA MKURUGENZI MPYA SAID MDERU |
| IMELDA ISHUZA AKIPEWA NG"OMBE KAMA ZAWADI KUTOKA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
| SAID MDERU WA PILI KULIA MWENYE SUTI NA MKEWE MWENYE NGUO NYEKUNDU AKIKARIBISWA RASM NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MECKSON MWAKIPUNGA |
| WAKUU WA IDARA WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HOTUBA YA KUMUAGA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WILAYANI RUNGWE |
| MADIWANI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKIWA WAMESIMAMA KWA AJILI YA UTAMBULISHO KATIKA SHEREHE FUPI YA KUMUAGA MKURUGENZI IMELDA ISHUZA NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI MGENI SAID MDERU |
| MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MECKSON MWAKIPUNGA AKIONGEA KWENYE SHEREHE ALIYOIANDAA YA KUMUAGA IMELDA ISHUZA NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI SAID MDERU KUIONGOZA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
| UKAFIKA MUDA WA BURUDANI |
| KULIA IMELDA ISHUZA AKICHEZA KWA FURAHA HADI CHINI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
No comments:
Post a Comment