| VIJANA WAZALENDO WA TUKUYU WAKAFANIKIWA KULINASUA GALI HILI HAPA BAADA YA KUHANGAIKA KWA MUDA MLEFU KUTOKAMNA NA MVUA ZINAZO NYESHA KWA MFURULIZO |
| HAPA NDIPO CHUO CHA UALIMU TUKUYU AMBAPO TIMU YA TAIFA STARS MABORESHO WANAFANYA MAZOEZI |
| BAADHI YA WACHEZAJI WAKIELEKEA UWANJANI KWA AJILI YA MAZOEZI WANATEMBEA KWA MGUU KWAKUWA GALI IMEPATA SHIDA YA KUKWAMA KUTOKANA NA MVUA NYINGI ZINAZONYESHA MJINI TUKUYU |
| KOCHA WA TAIFA STARS MABORESHO AKIWA NA DR WA TIMU WAKIONGEA JAMBO NA WACHEZAJI BAADA YA KUFANYA MAZOEZI YA NGUVU |
| BENCHI LA UFUNDI LA TAIFA STARE MABORESHO |
| KUSHOTO KOCHA KOLOSO AKIONGEA NA KINGOTANZANIA NA AKIMUONYESHA VIJANA WALIVYO NA UWEZO WA ZIADA KATIKA KUSAKATA KANDANDA |
![]() |
| HAPA NI LANDMARK HOTEL TUKUYU WILAYANI RUNGWE AMBAPO TIMU YA TAIFA STARS YA MABORESHO WAMEWEKA KAMBI KWA MUDA WA MIEZI MIWILI |
KINGOTANZANIA - 0752 881456

No comments:
Post a Comment