Marehemu Anastazia Lackford Magafu enzi za uhai.
| Wanafunzi wenzake wakisubiri kuuaga mwili wa marehemu Anastazia Lackford Magafu aliyefariki baada ya kudaiwa kuchomwa moto na baba yake kisha kupewa juisi yenye sumu. | 
Mwili wa Anastazia Lackford Magafu wakati ukiagwa katika Shule ya Sekondari Mwanza.
Mwili wa marehemu Anastazia Lackford Magafu juzi uliagwa katika Shule ya Sekondari Mwanza alipokuwa akisoma enzi za uhai wake.
Inadaiwa kuwa kifo cha marehemu Anastazia kimesababishwa na sumu 
iliyowekwa kwenye juisi aliyopelekewa na baba yake, Lackford Magafu 
maarufu kwa jina la DJ Lackford, wakati akiwa amelazwa katika hospitali 
ya Rufaa ya Bugando (BMC) akitibiwa majereha ya moto.
Tukio la kifo hicho liliotokea Aprili 16 mwaka huu, ikiwa ni muda mfupi 
baada ya kunywa juisi inayodaiwa kuwa na sumu, hivyo kuzua utata wa 
chanzo cha kifo hicho
KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS
 
 
 
No comments:
Post a Comment