Dole juu: Luis Suarez amekamilisha uhamisho wake na kujiunga na Barcelona akitokea Liverpool.
Rasmi, Luis Suarez ameondoka Liverpool na kujiunga na FC Barcelona kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 75.
Mazungumzo
yalianza wiki iliyopita na yamefikia tamati baada ya Wakalunya kukubali
kulipa dau linaloaminika kuwa paundi milioni 75 ili kuinasa saini ya
mshambuliaji huyo wa Uruguay.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
No comments:
Post a Comment