Thursday, November 6, 2014

RAIS KIKWETE AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha Dkt
Yohana Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014

3 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akumpa vitendea kazi Dkt
Yohana Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014
4 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha
Injinia Mbogo Futakamba  kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji ikulu jijini
Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 5 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kazi
Injinia Mbogo Futakamba  kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji ikulu jijini
Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 7 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt
Donan Mmbando  kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 8 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kazi Dkt
Donan Mmbando  kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 10 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha
Mhe Jack Mugendi Zoka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 11 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kazi
Mhe Jack Mugendi Zoka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 12 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha
Mhe Charles Pallangyo kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Geita  Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 13 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kazi
Mhe Charles Pallangyo kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Geita  Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 15 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha
Bw, Adoh Stephen Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 16 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa vitendea kazi
Bw, Adoh Stephen Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 6, 2014 18 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na Makatibu
Tawala wa Mikoa wapya baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam
leo. 19 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania Nchini
Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka , pamoja na mabalozi wengine kutoka
kushoto Balozi Mbelwa Kairuki (Mkurugenzi wa Idara ya Asia na
Austrlia). Balozi Simba yahya (Mkurugenzi dara ya Mashariki ya Kati na
Balozi Celestine Mushi, Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa. 20 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt Ibrahim Hamisi Msangi
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi leo Ikulu jijini Dar es salaam 21 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Halima Omary Denengo
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara leo Ikulu jijini Dar es salaam
22 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi leo Ikulu jijini Dar es salaam
23 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William
Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo
Ikulu jijini Dar es salaam

No comments: