Rais
wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa
Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata
kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.(Picha zote na Owen Mwandumbya
wa Bunge)
Aliyekuwa
Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda akimpokea Rais wa
Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
alipowasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa
Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata
kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.
Rais
wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
akisalimiana na Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda mara baada
ya Kuwasili katika Viwanja vya Bunge kushiriki Misa hiyo.
Makinda akisalimiana na Mama Maureen Mwanawasa Mke wa aliyekuwa Rais wa Zambia wa awamu wa tatu marehemu Mhe. Levy Mwanawasa
Makinda akihojiwa na Waandishi mara baada ya kumalizika kwa misa hiyo.
Kutoka kushoto ni Dkt. Kenneth Kaunda, Lupia Banda na Anne Makinda wakiwa na huzuni tele
Mjane wa aliyekuwa Rais wa Zambia Dkt. Christine Kaseba Sata akiliwazwa
na mke wa kaimu Rais wa nchi hiyo Bi. Charlote Scot wakati wa Misa hiyo
Mwili
wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika
viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa
kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.
Mwili
wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika
viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa
kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.
Mwili
wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika
viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa
kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.
Rais
wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
akishiriki Misa Maalum ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe.
Michael Sata katika viwanja vya Bunge la Zambia leo. Mwili wa Marehemu
Sata unatarajia kuzikwa kesho mjini Lusaka.
Rais
wa Bunge la SADC na ambaye ni Spika wa Bunge la Tanzania akiondoka
katika viwanja vya Bunge la Zambia na Mwenyeji wake Dkt. Patrick
Matibini, Spika wa Bunge la Zambia.
No comments:
Post a Comment