ASANTE SANA NDUGU ZANGU WOTE KWA UPENDO WENU KWANGU |
MWAKA HUU UMEKUWA NA MAPITO MENGI SANA NA MAZITO LAKINI KWA NEEMA YA MUNGU AMENIFANYA NIPONE |
JANA NIMEPATA FULSA YA KUMCHAGUA KIONGOZI NINAYETAKA KUNIONGOZA MIAKA MITANO KATIKA KIJIJI CHANGU CHA BULYAGA TUKUYU MJINI WILAYANI RUNGWE |
AFYA YANGU INAENDELEA VYEMA NA KAZI NIMEANZA KUFANYA VYEMA ASANTENI SANA |
KINGOTANZANIA - 0752881456
No comments:
Post a Comment