Wananchi wa kibundugulu wamekuwa na kilio cha muda mlefu cha kukosa daraja, Serikali kupitia kilio cha mbunge wa Rungwe Saul Amon kusikika hatimaye daraja lakamilika tayari kwa wananchi wapatao mia mbili na hamsini kutanza kuvuka ili kujipatia huduma za kijamii upande wa pili kama shule na matibabu
Awali wananchi wa kibundugulu walikuwa wakivuka kwa kuogelea hari iliyopelekea kipindi cha mvua kukosa mahitaji muhimu ya kibinadam.
Habari kamili itawajia..
Ally kingo
No comments:
Post a Comment