Saturday, May 6, 2017

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE; ZAIDI YA WANAFUNZI 20 NA WALIMU WAO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI WILAYANI KARATU



Zaidi ya wanafunzi 20 wa shule ya St. Lucky na walimu wao wanasadikika kupoteza maisha papohapo baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika mlima Rhotia wilayani Karatu mkoani Manyara likitokea Jijini Arusha

Imeelezwa kuwa wanafunzi hao walikua wakielekea katika shule ya Tumain English Medium iliyopo wilayani Karatu mkoani Manyara kwaajili ya kufanya mitihani ya ujirani mwema.

Habari picha kuhusiana na tukio la ajali hii;








Endelea kufuatilia KINGOTANZANIA tutaendelea kukuhabarisha zaidi juu ya taarifa hii, Juhudi za kumtafuta Kamanda wa polisi mkoa wa Karatu kwa uthibitisho zaidi zinaendelea.

No comments: