LANDMAK TUKUYU KWA HUDUMA SAFI YA MALAZI ,CHAKULA PAMOJA KUMBI ZA SHEREHE NA MIKUTANO NA MIKUTANO |
TANDALE TUKUYU HUONGEZEKA UKUBWA KILA IITWAPO LEO NI MAARUFU KWA MAZAO YA SHAMBANI |
TANDALE TUKUYU WILANI RUNGWE |
FINYANGO TATU ZA NYAMA NI TSH 100 NA NDIZI MOJA TSH 50 KAZI KWAKO KULA HADI USHIBE MITAA YA TANDALE TUKUYU |
UTAMADUNI WA WANYAKYUSA , NGOMA YA IPENENGA |
DARAJA LA MUNGU KATIKA MTO KIWIRA |
ZIWA NGOSI LIPO KATIKA SAFU ZA MLIMA RUNGWE KATA YA NTOKELA WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA MAARUFU KAMA NAMBA ONE |
MAPOROMOKO YA MAJI YA KAPOLOGWE WILAYANI RUNGWE |
HAPA KIJUNGU KATIKA MTO KIWIRA HAPA NI SEHEMU AMBAPO MAJI YA MTO KIWIRA HUINGIA KATIKA MFANO WA CHUNGU NA KUTOKEA SEHEMU NYINGINE NI MFANO WA CHUNGU |
GES ASILIA INAYOPATIKANA RUNGWE NA KIWANDA KIPO RUNGWE |
UTAFITI MPYA WA MAJI YA MOTO YANAYOPATIKANA RUNGWE KWA AJILI YA KUZALISHA NGUVU UMEME |
NAELEKEA KUANGALIA MAJI YANAYOCHEMKA KATIKA MIAMBA |
MR MASANJA AMBAYE NI AFISA UTUMISHI BUSOKELO NA KATIKATI NI MR PANJA KWA PAMOJA TUKISHANGAA KUONA MAJI YA MOTO HUKU YAKICHEMKA |
WENYEJI NA WAGENI MBALIMBALI HAPA KWENYE MFANO WA CHUNGU MAJI YANAPOCHEMKA HUWEKA VIAZI NA MAYAI KWA MUDA MFUPI VINAIVA TAYARI KWA KULA |
SEHEMU YA MIAMBA INATIPITIWA NA MAJI HAYO YANAYOCHEMKA NA UKIONJA YANA CHUMVI SANA |
HAPA NI SEHEM UNAPOFANYIKA UTAFITI WA KUYAPATA MAJI HAYO KWA WINGI KWAAJILI YA KUZALISHA UMEME NA SHUGHURI ZINGINE, KWA TAARIFA ZA AWALI NIKUWA UTAFITI UMEFANIKIWA |
SEHEM YA MAJI YANAYOCHEMKA |
KWA JOTO LILILOPO MAENEO HAYA LAZIMA UPUNGUZE NGUO |
SEHEMU OWEVU MAALUFU KWA WENYEJI KAMA KILAMBO HAPA WAFUGAJI WANALETA MIFUGO YAO ILI KUPATA MAGADI |
KILA MTU ANAVUKA MTO KWA STAILI YAKE |
NILIFANIKIWA KURUKA BILA YA KUKANYAGA MAJI |
No comments:
Post a Comment