Sunday, September 3, 2017

KKKT DAYOSISI YA KONDE YAPATA ASKOFU MPYA BAADA YA UCHAGUZI WA KIDEMOKRASIA NDANI YA KANISA

KULIA NI ASKOFU MTEULE DR MCH EDWARD MWAIKALI NA KUSHOTO NI MCH GEOFFREY MWAKIHABA AMBAYE KACHAGULIWA KUWA MSAIDIZI WA ASKOFU WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA KANISA KKKT ASKOFU DR FREDICK SHOO MALA BAADA YA UCHAGUZI KUFANYIKA 

MKUU WA KANISA ASKOFU DR ESRAEL MWAKYOLILE AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KANISA AMBAO UMEMCHAGUA ASKOFU MTEULE DR EDWARD MWAIKALI KUWA MKUU WA KANISA LA KKT DAYOSISI YA KONDE

PICHA YA PAMOJA 

WAGENI WAALIKWA NA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA KANISA LA KKT DAYOSISI YA KONDE AMBAO TAREHE 2.9.2017 WAMEMCHAGUA ASKOFU MTEULE DR MWAIKALI NA MSAIDIZI WA ASKOFU MCH MWAKIHABA NA WAKUU WA JIMBO

1. MCH NDIKUTILA MWASANGUTI
2. MCH JUDITH KAJELA                  
3. MCH CHARLES NDIKUTILA        
4. GEORGE MWAKANYAMALE        
5. MCH NYIBUKO MWAMBOLA    
6. MCH JOHN MWASAKILALE        
 


MKUU WA KANISA LA KKT DAYOSISI YA KONDE DR ESRAEL P. MWAKYOLILE AKITOA MUBARAKA KWA WAJUMBE WA MKUTANO NA SASA KUANZA KWA MAANDALIZI YA KUWEKWA WAKFU KWA MKUU MPYA WA KANISA LA KKT DAYOSISI YA KONDE MCH DR EDWARD MWAIKALI.

KINGOTANZANIA INAWASHURU WALE WOTE WALIOPATA NAFASI YA KUOMBEA MKUTANO MKUU WA KANISA NA KUFANIKIWA KUISHA SALAMA. AMEN

No comments: